Friday 16 February 2018 photo 13/15
|
Maana ya fonolojia pdf: >> http://qrp.cloudz.pw/download?file=maana+ya+fonolojia+pdf << (Download)
Maana ya fonolojia pdf: >> http://qrp.cloudz.pw/read?file=maana+ya+fonolojia+pdf << (Read Online)
matawi ya isimu
fonolojia arudhi
umuhimu wa fonetiki
maana ya alofoni
dhana ya fonimu
nadharia ya fonimu
mofolojia
ala za sauti
15 Jan 2018 Fonolojia hushughulikia muainisho wa vipashio vya lugha inayohusika, jinsi vipashio hivyo vinavyofuatana na kuathiriana ilihali mofolojia huhusika na maumbo ya maneno yenye maana kisarufi na jinsi yanavyoweza kuathiriana. Mifano ifuatayo hudhihirisha muathiriano wa kimofolojia na kifonolojia.
AAP 68 (2001)- SWAHILI FORUM VIII • 221-226. Mgullu, Richard S. 1999. Mtalaa wa Isimu: Fonetiki, Fonolojia na Mofolojia ya Kiswahili. Nairobi: Longhom Publishers. Kurasa xv, 247. Kitabu chochote cha kitaalamu kinapoandikwa kwa Kiswahili kinakuwa sababu kubwa kwetu kusheherekea .. Tunasheherekea uchapishaji
Misingi ya fonolojia. Responsibility: David P.B. Massamba. Language: Swahili. In Swahili. Publication: Dar es Salaam : Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, [2012]; Physical description: viii, 186 pages ; 21 cm
8 Des 2013 Langage hufafanuliwa kuwa ni uwezo alionao mzungumzaji wa lugha mahususi wa kuzungumza na kuelewa matamshi ya mzungumzaji mwingine wa lugha hiyohiyo. Ni sehemu ya lugha inayowakilisha maarifa kati ya sauti na alama. Ni mfumo wa alama kwa maana ya kiufundi tu. Dai lake la msingi ni
Fonolojia (hasa huitwa Sarufi Matamshi) ni tawi la sayansi ya isimu. Inashughulikia uchunguzi wa mfumo wa sauti katika lugha fulani, kwa mfano ugawanyaji wa irabu na konsonanti. Ala za sauti (vipashio vya utamkaji) zinatumika katika utamkaji wa fonimu (vitamkwa) za lugha husika. Mkondo wa hewa wakati wa utamkaji.
babana bata yana maana tofauti kwa sababu ya tofauti ya fonimu /b/ na /t/. Mtazamo huu hujulikana kuwa ni wa kifonolojia. Na kwa hakika, mawazo haya ndiyo yaliyoshika mzizi zaidi katika taaluma ya fonolojia na ndiyo inayofunzwa hivi sasa katika sehemu nyingi ulimwenguni. Tofauti kati ya Fonetiki na Fonolojia
7 Ago 2014 Kazi ya uandishi wa kozi hii imechochewa na mwitikio wa wanafunzi wetu kujiunga kwa wingi katika kujifunza lugha ya Kiswahili na Isimu kwa ujumla. Ili kuwasheheneza na mada mbalimbali kuendana na mabadiliko ya sasa tumeamua kuandika kitangulizi hiki cha Lugha na Isimu kwa kuzingatia kozi
Mtalaa wa isimu : fonetiki, fonolojia na mofolojia ya Kiswahili. Responsibility: Richard S. Mgullu. Language: Swahili. In Swahili. Imprint: Nairobi : Longhorn Publishers, c1999. Physical description: xii, 246 p. : ill. ; 21 cm.
6 Machi 2016 Waasisi wa fonolojia zalishi wanaaminin kwamba mabadiliko ya kifonetiki ni suala la kujifunza ilhali waasisi wa fonolojia asilia wao huamini mabadiliko hayo si ya kujifunza. Katika fonolojia zalishi, Chomky na Halle wanaamini kwamba mabadiliko ya kifonetiki ni suala la kijifunza. Hii ina maana kwamba
Fonolojia ni tawi la taaluma ya isimu linaloshughulikia uchunguzi, uchambuzi, na uanishaji wa sauti pambanuzi katika lugha mahususi. Tawi hili hujishughulisha na sauti ambazo hutumika kutofautisha maana za maneno katika lugha maalum / mahususi. Fonolojia hujihusisha na sheria / kanuni zinazoandamana na utoaji
Annons